Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Waamuzi 11:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Lakini mfalme wa wana wa Amoni hakuusikiza ujumbe aliotumiwa na Yeftha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Lakini mfalme wa Amoni alipuuza ujumbe huo wa Yeftha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Lakini mfalme wa Amoni alipuuza ujumbe huo wa Yeftha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Lakini mfalme wa Amoni alipuuza ujumbe huo wa Yeftha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Hata hivyo, mfalme wa Waamoni hakuyajali maneno ya ujumbe wa Yefta.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Hata hivyo, Mfalme wa Waamoni, hakuyajali maneno ya ujumbe wa Yefta.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 11:28
4 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Amazia hakutaka kusikia. Basi Yehoashi mfalme wa Israeli akakwea; wakatazamana uso kwa uso, yeye na Amazia mfalme wa Yuda, huko Beth-shemeshi ulio wa Yuda.


Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.


Basi mimi sikukufanyia wewe dhambi, lakini wewe unanitenda uovu kwa kupigana nami; yeye BWANA, yeye Mwamuzi, na awe mwamuzi hivi leo kati ya wana wa Israeli na wana wa Amoni.


Ndipo Roho ya BWANA ikamjia Yeftha, naye akapita katika Gileadi na Manase, akapita na katika Mispa ya Gileadi, na kutoka hapo Mispa ya Gileadi akapita kuwaendea wana wa Amoni.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo