Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 11:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 akamwambia, Yeftha anakuambia hivi; Israeli hakuitwaa nchi ya Moabu, wala nchi ya wana wa Amoni;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 wamwambie kwa niaba yake, “Waisraeli hawakuchukua nchi ya Wamoabu wala nchi ya Waamoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 wamwambie kwa niaba yake, “Waisraeli hawakuchukua nchi ya Wamoabu wala nchi ya Waamoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 wamwambie kwa niaba yake, “Waisraeli hawakuchukua nchi ya Wamoabu wala nchi ya Waamoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 kusema: “Hili ndilo asemalo Yefta: Waisraeli hawakuchukua nchi ya Moabu wala nchi ya Waamoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 kusema: “Hili ndilo asemalo Yefta, Israeli hawakuchukua nchi ya Moabu wala ya Waamoni.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 11:15
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na sasa, tazama, wana wa Amoni, na Moabu, na wa mlima Seiri, ambao hukuwaacha Israeli waingie katika nchi yao, walipotoka nchi ya Misri; lakini wakawageukia mbali, wasiwaharibu;


na utakaposongea kuwaelekea wana wa Amoni, usiwasumbue wana wa Amoni, wala usishindane nao; kwa kuwa sitakupa katika nchi ya hao wana wa Amoni kuwa milki yako; kwa sababu nimewapa wana wa Lutu iwe milki yao.


BWANA akaniambia, Usiwasumbue Wamoabi, wala usishindane nao katika mapigano; kwa kuwa sitakupa katika nchi yake kuimiliki; kwa sababu Ari nimewapa wana wa Lutu kuimiliki.


Yeftha akatuma wajumbe mara ya pili waende kwa huyo mfalme wa wana wa Amoni;


lakini hapo walipokwea kutoka Misri, na Israeli walipitia katika jangwa hadi Bahari ya Shamu, na Kadeshi;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo