Waamuzi 10:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Hasira za BWANA ziliwaka juu ya Israeli, akawauza na kuwaua mikononi mwa Wafilisti, na mikononi mwa wana wa Amoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa Wafilisti na Waamoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa Wafilisti na Waamoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa Wafilisti na Waamoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 hivyo hasira ya Mwenyezi Mungu ikawaka dhidi ya Waisraeli. Naye akawatia mikononi mwa Wafilisti na Waamoni, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 hivyo hasira ya bwana ikawaka dhidi ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa Wafilisti na Waamoni, Tazama sura |