Waamuzi 10:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Haya, endeni mkaililie hiyo miungu mliyoichagua; na hiyo iwaokoe wakati wa kusumbuka kwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Nendeni mkaililie hiyo miungu mliyoichagua. Iacheni hiyo iwakomboe katika taabu zenu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Nendeni mkaililie hiyo miungu mliyoichagua. Iacheni hiyo iwakomboe katika taabu zenu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Nendeni mkaililie hiyo miungu mliyoichagua. Iacheni hiyo iwakomboe katika taabu zenu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Nendeni mkaililie ile miungu mlioichagua. Hiyo miungu na iwaokoe mnapokuwa katika taabu!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Nendeni mkaililie ile miungu mlioichagua. Hiyo miungu na iwaokoe mnapokuwa katika taabu!” Tazama sura |