Waamuzi 1:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Kisha ikawa, hapo Israeli walipokuwa wamepata nguvu, ndipo walipowatia hao Wakanaani katika kazi ya shokoa, wala hawakuwafukuza kabisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Hata Waisraeli walipokuwa na nguvu hawakuwafukuza Wakanaani bali waliwapa kazi za kulazimishwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Hata Waisraeli walipokuwa na nguvu hawakuwafukuza Wakanaani bali waliwapa kazi za kulazimishwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Hata Waisraeli walipokuwa na nguvu hawakuwafukuza Wakanaani bali waliwapa kazi za kulazimishwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Israeli walipopata nguvu, wakawatia Wakanaani katika kazi ya kulazimishwa, lakini kamwe hawakuwafukuza watoke kabisa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Israeli walipopata nguvu, wakawatia Wakanaani katika kazi ya kulazimishwa, lakini kamwe hawakuwafukuza watoke kabisa. Tazama sura |