Waamuzi 1:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Kisha kutoka hapo akawafuatia wale wenye kukaa Debiri. (Jina la Debiri hapo kwanza ulikuwa ukiitwa Kiriath-seferi.) Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kutoka huko watu wa kabila la Yuda walikwenda kuushambulia mji wa Debiri; ambao hapo awali uliitwa Kiriath-seferi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kutoka huko watu wa kabila la Yuda walikwenda kuushambulia mji wa Debiri; ambao hapo awali uliitwa Kiriath-seferi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kutoka huko watu wa kabila la Yuda walikwenda kuushambulia mji wa Debiri; ambao hapo awali uliitwa Kiriath-seferi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kutoka huko wakasonga mbele kukabiliana na watu walioishi Debiri (mji huu hapo awali uliitwa Kiriath-Seferi). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kutoka huko wakasonga mbele kukabiliana na watu walioishi Debiri (mji huu hapo kwanza uliitwa Kiriath-Seferi.) Tazama sura |