Ufunuo 21:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Akaupima ukuta wake, ukapata dhiraa mia moja na arubaini na nne, kwa kipimo cha kibinadamu, ambacho malaika alitumia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Kisha akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita 60 kwa kipimo cha macho cha kibinadamu ambacho malaika alitumia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Kisha akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita 60 kwa kipimo cha macho cha kibinadamu ambacho malaika alitumia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Kisha akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita 60 kwa kipimo cha macho cha kibinadamu ambacho malaika alitumia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Akaupima ukuta wake, ulikuwa na unene wa dhiraa mia moja na arobaini na nne (144) kwa kipimo cha kibinadamu ambacho huyo malaika alikuwa akikitumia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Akaupima ukuta wake, ulikuwa na unene wa dhiraa 144 kwa kipimo cha kibinadamu ambacho huyo malaika alikuwa akikitumia. Tazama sura |