Ufunuo 20:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Akalishika lile joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Akalikamata lile joka – nyoka wa kale, yaani Ibilisi au Shetani – akalifunga kwa muda wa miaka 1,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Akalikamata lile joka – nyoka wa kale, yaani Ibilisi au Shetani – akalifunga kwa muda wa miaka 1,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Akalikamata lile joka — nyoka wa kale, yaani Ibilisi au Shetani — akalifunga kwa muda wa miaka 1,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Akalishika lile joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni ibilisi, au Shetani, naye akamfunga kwa muda wa miaka elfu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Akalishika lile joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ndiye ibilisi au Shetani, naye akamfunga kwa muda wa miaka 1,000. Tazama sura |