Ufunuo 20:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Na iwapo mtu yeyote hakuonekana ameandikwa katika kitabu cha uzima, alitupwa katika lile ziwa la moto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mtu yeyote ambaye jina lake halikupatikana limeandikwa katika kitabu cha uhai, alitupwa katika ziwa la moto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mtu yeyote ambaye jina lake halikupatikana limeandikwa katika kitabu cha uhai, alitupwa katika ziwa la moto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mtu yeyote ambaye jina lake halikupatikana limeandikwa katika kitabu cha uhai, alitupwa katika ziwa la moto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Iwapo mtu yeyote jina lake halikuonekana katika kile kitabu cha uzima, alitupwa ndani ya lile ziwa la moto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Iwapo mtu jina lake halikuonekana katika kile kitabu cha uzima, alitupwa ndani ya lile ziwa la moto. Tazama sura |