Ufunuo 2:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Nimempa muda wa kutubu, lakini hataki kuachana na uzinzi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Nimempa muda wa kutubu, lakini hataki kuachana na uzinzi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Nimempa muda wa kutubu, lakini hataki kuachana na uzinzi wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Nimempa muda ili atubu kwa ajili ya uasherati wake, lakini hataki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Nimempa muda ili atubu kwa ajili ya uasherati wake, lakini hataki. Tazama sura |