Ufunuo 18:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Mlipeni kama yeye alivyolipa, mkamlipe mara mbili kwa kadiri ya matendo yake. Katika kikombe kile alichokichanganyisha, mchanganyishieni mara mbili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mtendeeni kama alivyowatendea nyinyi; mlipeni mara mbili kwa yale aliyoyatenda. Mchanganyieni kikombeni mwake kinywaji kikali maradufu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mtendeeni kama alivyowatendea nyinyi; mlipeni mara mbili kwa yale aliyoyatenda. Mchanganyieni kikombeni mwake kinywaji kikali maradufu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mtendeeni kama alivyowatendea nyinyi; mlipeni mara mbili kwa yale aliyoyatenda. Mchanganyieni kikombeni mwake kinywaji kikali maradufu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mtendee kama yeye alivyotenda; umlipe mara mbili kwa ajili ya yale aliyotenda. Katika kikombe chake mchanganyie mara mbili ya kile alichochanganya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Mtendee kama yeye alivyotenda; umlipe mara mbili kwa ajili ya yale aliyotenda. Katika kikombe chake mchanganyie mara mbili ya kile alichochanganya. Tazama sura |