Ufunuo 18:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Na ndani yake ilionekana damu ya manabii, na ya watakatifu, na ya wale wote waliouawa juu ya nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Mji huo uliadhibiwa kwani humo mlipatikana damu ya manabii, damu ya watakatifu na ya watu wote waliouawa duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Mji huo uliadhibiwa kwani humo mlipatikana damu ya manabii, damu ya watakatifu na ya watu wote waliouawa duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Mji huo uliadhibiwa kwani humo mlipatikana damu ya manabii, damu ya watakatifu na ya watu wote waliouawa duniani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Ndani yake ilionekana damu ya manabii na ya watakatifu, na wote waliouawa duniani.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Ndani yake ilionekana damu ya manabii na ya watakatifu na wote waliouawa duniani.” Tazama sura |