Ufunuo 16:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 kwa kuwa walimwaga damu ya watakatifu na ya manabii, nawe umewapa damu wainywe; ndiyo wanayostahili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Maana waliimwaga damu ya watu wa Mungu na manabii, nawe umewapa damu wainywe; wamestahili hivyo!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Maana waliimwaga damu ya watu wa Mungu na manabii, nawe umewapa damu wainywe; wamestahili hivyo!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Maana waliimwaga damu ya watu wa Mungu na manabii, nawe umewapa damu wainywe; wamestahili hivyo!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 kwa kuwa walimwaga damu ya watakatifu wako na manabii wako, nawe umewapa damu wanywe kama walivyostahili.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 kwa kuwa walimwaga damu ya watakatifu wako na manabii wako, nawe umewapa damu wanywe kama walivyostahili.” Tazama sura |