Ufunuo 15:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Na baada ya hayo nikaona, na hekalu la hema ya ushuhuda mbinguni lilifunguliwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Baada ya hayo nikaona hekalu limefunguliwa mbinguni, na ndani yake hema ya kuwapo kwa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Baada ya hayo nikaona hekalu limefunguliwa mbinguni, na ndani yake hema ya kuwapo kwa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Baada ya hayo nikaona hekalu limefunguliwa mbinguni, na ndani yake hema ya kuwapo kwa Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Baada ya haya nikatazama, nalo Hekalu la Hema la Ushuhuda lilikuwa limefunguliwa mbinguni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Baada ya haya nikatazama, nalo hekalu, la hema la Ushuhuda, lilikuwa limefunguliwa mbinguni. Tazama sura |