Ufunuo 1:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu nyeupe, kama theluji; na macho yake kama muali wa moto; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Nywele zake zilikuwa nyeupe kama pamba nyeupe, kama theluji; macho yake yalimetameta kama moto; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Nywele zake zilikuwa nyeupe kama pamba nyeupe, kama theluji; macho yake yalimetameta kama moto; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Nywele zake zilikuwa nyeupe kama pamba nyeupe, kama theluji; macho yake yalimetameta kama moto; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu, nyeupe kama theluji, nayo macho yake yalikuwa kama mwali wa moto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu, nyeupe kama theluji, nayo macho yake yalikuwa kama mwali wa moto. Tazama sura |