Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 9:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Asubuhi mapema wakaondoka wote wawili wakafika kwenye karamu ya arusi; naye Gabaeli akambariki Tobia na mkewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Kesho yake, asubuhi na mapema, Rafaeli na Gabaeli walianza safari kwenda kwenye harusi. Walipowasili nyumbani kwa Ragueli, walimkuta Tobia karamuni. Mara Tobia akainuka kumsalimu Gabaeli ambaye alitokwa machozi na kuwatakia baraka kwa maneno haya: “Wewe ni kijana mzuri wa baba mnyofu na mwadilifu katika shughuli zake zote! Bwana Mungu akujalie baraka za mbinguni wewe na mke wako pamoja na wazazi wa mkeo. Atukuzwe Mungu aliyenijalia kuiona sura hai ya binamu yangu Tobiti!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

BIBLIA KISWAHILI

6 Asubuhi mapema wakaondoka wote wawili wakafika kwenye karamu ya harusi; naye Gabaeli akambariki Tobia na mkewe.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

6 Kesho yake, asubuhi na mapema, Rafaeli na Gabaeli walianza safari kwenda kwenye harusi. Walipowasili nyumbani kwa Ragueli, walimkuta Tobia karamuni. Mara Tobia akainuka kumsalimu Gabaeli ambaye alitokwa machozi na kuwatakia baraka kwa maneno haya: “Wewe ni kijana mzuri wa baba mnyofu na mwadilifu katika shughuli zake zote! Bwana Mungu akujalie baraka za mbinguni wewe na mke wako pamoja na wazazi wa mkeo. Atukuzwe Mungu aliyenijalia kuiona sura hai ya binamu yangu Tobiti!”

Tazama sura Nakili

Tobiti 9:6
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo