Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 9:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Hivyo Rafaeli akaondoka, akaenda akatua kwa Gabaeli, akampa ile hati. Naye akaileta ile mifuko ya fedha yenye mihuri yake, akampa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, Rafaeli akaenda Rage, akalala nyumbani kwa Gabaeli. Rafaeli akampa Gabaeli ile hati yenye sahihi, na akamwarifu kwamba Tobia mwana wa Tobiti alikuwa anaoa na kwamba alimwalika kwenye harusi hiyo. Bila kukawia, Gabaeli akahesabu mifuko ya fedha iliyokuwa imefungwa na kutiwa mhuri, akamkabidhi Rafaeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, Rafaeli akaenda Rage, akalala nyumbani kwa Gabaeli. Rafaeli akampa Gabaeli ile hati yenye sahihi, na akamwarifu kwamba Tobia mwana wa Tobiti alikuwa anaoa na kwamba alimwalika kwenye harusi hiyo. Bila kukawia, Gabaeli akahesabu mifuko ya fedha iliyokuwa imefungwa na kutiwa mhuri, akamkabidhi Rafaeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Hivyo Rafaeli akaondoka, akaenda akatua kwa Gabaeli, akampa ile hati. Naye akaileta ile mifuko ya fedha yenye mihuri yake, akampa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Basi, Rafaeli akaenda Rage, akalala nyumbani kwa Gabaeli. Rafaeli akampa Gabaeli ile hati yenye sahihi, na akamwarifu kwamba Tobia mwana wa Tobiti alikuwa anaoa na kwamba alimwalika kwenye harusi hiyo. Bila kukawia, Gabaeli akahesabu mifuko ya fedha iliyokuwa imefungwa na kutiwa mhuri, akamkabidhi Rafaeli. Tazama sura |