Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 9:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Ati! Baba yangu anazihesabu siku, nami nikikawia sana atahuzunika mno. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Sasa wewe mwenyewe waona mambo ambayo Ragueli ameapa kuyafanya, nami nabanwa na kiapo chake!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Sasa wewe mwenyewe waona mambo ambayo Ragueli ameapa kuyafanya, nami nabanwa na kiapo chake!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Ati! Baba yangu anazihesabu siku, nami nikikawia sana atahuzunika mno. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Sasa wewe mwenyewe waona mambo ambayo Ragueli ameapa kuyafanya, nami nabanwa na kiapo chake!” Tazama sura |