Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 9:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 kwa Gabaeli, ili uniletee ile fedha; tena uje naye kwenye karamu ya arusi. Yaani, Ragueli ameapa nisiondoke mimi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Wajua kwamba baba yangu anahesabu siku za kurudi kwangu na nikichelewa hata siku moja tu itamtia wasiwasi mkubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Wajua kwamba baba yangu anahesabu siku za kurudi kwangu na nikichelewa hata siku moja tu itamtia wasiwasi mkubwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 kwa Gabaeli, ili uniletee ile fedha; tena uje naye kwenye karamu ya harusi. Yaani, Ragueli ameapa nisiondoke mimi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA3 Wajua kwamba baba yangu anahesabu siku za kurudi kwangu na nikichelewa hata siku moja tu itamtia wasiwasi mkubwa. Tazama sura |