Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 9:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Ndugu yangu Azaria, utwae mtumishi mmoja na ngamia wawili, ukaende Rage, mji wa Umedi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Ndugu Azaria, chukua watumishi wanne na ngamia wawili uende mjini Rage, kwa Gabaeli, umpe hati hii yenye sahihi naye atakupa ile fedha. Halafu uje naye kwenye harusi yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Ndugu Azaria, chukua watumishi wanne na ngamia wawili uende mjini Rage, kwa Gabaeli, umpe hati hii yenye sahihi naye atakupa ile fedha. Halafu uje naye kwenye harusi yangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Ndugu yangu Azaria, utwae mtumishi mmoja na ngamia wawili, uende Rage, mji wa Umedi, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA2 “Ndugu Azaria, chukua watumishi wanne na ngamia wawili uende mjini Rage, kwa Gabaeli, umpe hati hii yenye sahihi naye atakupa ile fedha. Halafu uje naye kwenye harusi yangu. Tazama sura |