Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 8:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Basi usiku ule wakalala usingizi wote wawili. Ragueli akaondoka mapema, akaenda akachimba kaburi; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kisha wakalala usiku huo. Wote walipokuwa usingizini, Ragueli akaamka, akawaita watumishi wake, akaenda nao kuchimba kaburi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kisha wakalala usiku huo. Wote walipokuwa usingizini, Ragueli akaamka, akawaita watumishi wake, akaenda nao kuchimba kaburi, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Basi usiku ule wakalala usingizi wote wawili. Ragueli akaondoka mapema, akaenda akachimba kaburi; Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Kisha wakalala usiku huo. Wote walipokuwa usingizini, Ragueli akaamka, akawaita watumishi wake, akaenda nao kuchimba kaburi, Tazama sura |