Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 8:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Na sasa, Ee BWANA, simtwai huyu ndugu yangu kwa ajili ya tamaa, bali katika kweli. Uamuru nirehemiwe, hata niwahi kuona uzee pamoja naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kwa hiyo namchukua dada yangu si kwa sababu ya tamaa ya mwili ila nafanya hivyo kwa dhamiri safi. Uwe na huruma kwake na kwangu utufikishe uzeeni pamoja!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kwa hiyo namchukua dada yangu si kwa sababu ya tamaa ya mwili ila nafanya hivyo kwa dhamiri safi. Uwe na huruma kwake na kwangu utufikishe uzeeni pamoja!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Na sasa, Ee BWANA, simtwai huyu ndugu yangu kwa ajili ya tamaa, bali katika kweli. Uamuru nirehemiwe, hata niwahi kuona uzee pamoja naye. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA7 Kwa hiyo namchukua dada yangu si kwa sababu ya tamaa ya mwili ila nafanya hivyo kwa dhamiri safi. Uwe na huruma kwake na kwangu utufikishe uzeeni pamoja!” Tazama sura |