Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 8:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Ndiwe uliyemuumba Adamu, ukampa mkewe Hawa, ili awe msaidizi na tegemeo; na kwao umetoka uzao wote wa wanadamu. Nawe ukasema, Si vema mwanamume akae peke yake; na tumfanyizie msaidizi wa kufanana naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Ndiwe uliyemuumba Adamu; ndiwe uliyemuumba Hawa mkewe, amsaidie na kumtegemeza. Binadamu wote wametokana na hao wawili. Ndiwe uliyesema: Si vizuri mwanamume kuwa peke yake; Tumuumbe mtu wa kumsaidia aliye kama yeye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Ndiwe uliyemuumba Adamu; ndiwe uliyemuumba Hawa mkewe, amsaidie na kumtegemeza. Binadamu wote wametokana na hao wawili. Ndiwe uliyesema: Si vizuri mwanamume kuwa peke yake; Tumuumbe mtu wa kumsaidia aliye kama yeye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Ndiwe uliyemuumba Adamu, ukampa mkewe Hawa, ili awe msaidizi na tegemeo; na kwao umetoka uzao wote wa wanadamu. Nawe ukasema, Si vema mwanamume akae peke yake; na tumfanyizie msaidizi wa kufanana naye. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Ndiwe uliyemuumba Adamu; ndiwe uliyemuumba Hawa mkewe, amsaidie na kumtegemeza. Binadamu wote wametokana na hao wawili. Ndiwe uliyesema: Si vizuri mwanamume kuwa peke yake; Tumuumbe mtu wa kumsaidia aliye kama yeye. Tazama sura |