Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 8:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Ndipo Tobia alipoanza kusema, Ee Mungu wa baba zetu, umehimidiwa; na jina lako takatifu tukufu limehimidiwa milele; mbingu nazo zikuhimidi, pamoja na viumbe vyako vyote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Sara akainuka. Tobia akaanza kusali: “Utukuzwe ee Mungu wa wazee wetu. Jina lako lisifiwe milele na milele. Mbingu zikutukuze, navyo viumbe vyako vyote, milele na milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Sara akainuka. Tobia akaanza kusali: “Utukuzwe ee Mungu wa wazee wetu. Jina lako lisifiwe milele na milele. Mbingu zikutukuze, navyo viumbe vyako vyote, milele na milele. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Ndipo Tobia alipoanza kusema, Ee Mungu wa baba zetu, umehimidiwa; na jina lako takatifu tukufu limehimidiwa milele; mbingu nazo zikuhimidi, pamoja na viumbe vyako vyote. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Sara akainuka. Tobia akaanza kusali: “Utukuzwe ee Mungu wa wazee wetu. Jina lako lisifiwe milele na milele. Mbingu zikutukuze, navyo viumbe vyako vyote, milele na milele. Tazama sura |