Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 8:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Na wakiisha kuwamo chumbani wote wawili. Tobia akaondoka kitandani, akasema, Ndugu yangu, ondoka, ili pamoja tumwombe Mungu atuhurumie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Basi Tobia na Sara walibaki peke yao chumbani baada ya wale wazazi kwenda zao na milango kufungwa. Kisha Tobia aliondoka kitandani, akamwambia mkewe, “Inuka, dada, tumwombe Bwana atuonee huruma na kutukinga salama.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Basi Tobia na Sara walibaki peke yao chumbani baada ya wale wazazi kwenda zao na milango kufungwa. Kisha Tobia aliondoka kitandani, akamwambia mkewe, “Inuka, dada, tumwombe Bwana atuonee huruma na kutukinga salama.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Na wakiisha kuwamo chumbani wote wawili. Tobia akaondoka kitandani, akasema, Ndugu yangu, ondoka, ili pamoja tumwombe Mungu atuhurumie. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Basi Tobia na Sara walibaki peke yao chumbani baada ya wale wazazi kwenda zao na milango kufungwa. Kisha Tobia aliondoka kitandani, akamwambia mkewe, “Inuka, dada, tumwombe Bwana atuonee huruma na kutukinga salama.” Tazama sura |