Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 8:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Yule jini alipoisikia harufu, akakimbia hata kukimbilia pande za juu za Misri; huko ndiko malaika alikomfunga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Harufu yake ikalitimulia mbali lile jini, likakimbilia Misri. Rafaeli akalifuatia huko na bila kukawia akalikaba na kulifunga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Harufu yake ikalitimulia mbali lile jini, likakimbilia Misri. Rafaeli akalifuatia huko na bila kukawia akalikaba na kulifunga. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Yule jini alipoisikia harufu, akakimbia hata kukimbilia pande za juu za Misri; huko ndiko malaika alikomfunga. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA3 Harufu yake ikalitimulia mbali lile jini, likakimbilia Misri. Rafaeli akalifuatia huko na bila kukawia akalikaba na kulifunga. Tazama sura |