Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 8:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Na kabla ya kuisha siku za karamu ya arusi, Ragueli akamwapisha Tobia asiondoke hata siku zile kumi na nne za karamu ya arusi zitimie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Ragueli alimwita Tobia, akamwambia, “Sipendi kusikia juu ya safari yako mpaka baada ya majuma mawili. Utakaa papa hapa ule na kunywa pamoja nami, umfurahishe binti yangu baada ya taabu zote alizopata. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Ragueli alimwita Tobia, akamwambia, “Sipendi kusikia juu ya safari yako mpaka baada ya majuma mawili. Utakaa papa hapa ule na kunywa pamoja nami, umfurahishe binti yangu baada ya taabu zote alizopata. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Na kabla ya kuisha siku za karamu ya harusi, Ragueli akamwapisha Tobia asiondoke hata siku zile kumi na nne za karamu ya harusi zitimie. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA20 Ragueli alimwita Tobia, akamwambia, “Sipendi kusikia juu ya safari yako mpaka baada ya majuma mawili. Utakaa papa hapa ule na kunywa pamoja nami, umfurahishe binti yangu baada ya taabu zote alizopata. Tazama sura |