Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 8:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Naye alipokuwa akienda, akayakumbuka maneno ya Rafaeli, akayatwaa majivu ya ubani, akavitia juu yake moyo na ini vya samaki, akafukiza moshi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Tobia alikumbuka maagizo ya Rafaeli. Basi, akafungua mfuko wake, akatoa ini na moyo wa samaki, akaviweka juu ya moto wa ubani; moshi ukafuka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Tobia alikumbuka maagizo ya Rafaeli. Basi, akafungua mfuko wake, akatoa ini na moyo wa samaki, akaviweka juu ya moto wa ubani; moshi ukafuka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Naye alipokuwa akienda, akayakumbuka maneno ya Rafaeli, akayatwaa majivu ya ubani, akavitia juu yake moyo na ini vya samaki, akafukiza moshi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA2 Tobia alikumbuka maagizo ya Rafaeli. Basi, akafungua mfuko wake, akatoa ini na moyo wa samaki, akaviweka juu ya moto wa ubani; moshi ukafuka. Tazama sura |