Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 8:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Akaifanya karamu ya arusi yao siku kumi na nne. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Kisha Ragueli akamwambia mkewe aoke mikate, naye mwenyewe akaenda akachagua ng'ombe wawili na kondoo wanne kutoka kundi la mifugo yake akampata mtumishi atayarishe karamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Kisha Ragueli akamwambia mkewe aoke mikate, naye mwenyewe akaenda akachagua ng'ombe wawili na kondoo wanne kutoka kundi la mifugo yake akampata mtumishi atayarishe karamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Akaifanya karamu ya harusi yao siku kumi na nne. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA19 Kisha Ragueli akamwambia mkewe aoke mikate, naye mwenyewe akaenda akachagua ng'ombe wawili na kondoo wanne kutoka kundi la mifugo yake akampata mtumishi atayarishe karamu. Tazama sura |