Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 8:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Kisha Ragueli akawaamuru watumishi wake walifukie kaburi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Halafu Ragueli akaamuru watumishi wake wafukie lile kaburi kabla jua halijachomoza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Halafu Ragueli akaamuru watumishi wake wafukie lile kaburi kabla jua halijachomoza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Kisha Ragueli akawaamuru watumishi wake walifukie kaburi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA18 Halafu Ragueli akaamuru watumishi wake wafukie lile kaburi kabla jua halijachomoza. Tazama sura |