Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 8:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Wewe umehimidiwa kwa kuwa umewarehemu wawili hawa, walio watoto pekee wa wazazi wao. Ee BWANA, uwajalie rehema, ili waimalize maisha yao katika afya, pamoja na furaha na rehema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Utukuzwe kwa sababu umewarehemu vijana hao wawili watoto wa pekee kwa wazazi wao. Uwajalie ee Bwana huruma na kinga yako; uwajalie maisha ya upendo na furaha.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Utukuzwe kwa sababu umewarehemu vijana hao wawili watoto wa pekee kwa wazazi wao. Uwajalie ee Bwana huruma na kinga yako; uwajalie maisha ya upendo na furaha.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Wewe umehimidiwa kwa kuwa umewarehemu wawili hawa, walio watoto pekee wa wazazi wao. Ee BWANA, uwajalie rehema, ili waimalize maisha yao katika afya, pamoja na furaha na rehema. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA17 Utukuzwe kwa sababu umewarehemu vijana hao wawili watoto wa pekee kwa wazazi wao. Uwajalie ee Bwana huruma na kinga yako; uwajalie maisha ya upendo na furaha.” Tazama sura |