Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 8:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Wewe umehimidiwa kwa kuwa umenifurahisha; wala yale niliyoyahofu hayakunipata; bali umetutendea sawasawa na rehema zako nyingi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Utukuzwe kwa sababu umenifurahisha. Lile nililohofia halikutukia; badala yake umetuonesha huruma yako kuu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Utukuzwe kwa sababu umenifurahisha. Lile nililohofia halikutukia; badala yake umetuonesha huruma yako kuu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

16 Wewe umehimidiwa kwa kuwa umenifurahisha; wala yale niliyoyahofu hayakunipata; bali umetutendea sawasawa na rehema zako nyingi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

16 Utukuzwe kwa sababu umenifurahisha. Lile nililohofia halikutukia; badala yake umetuonesha huruma yako kuu.

Tazama sura Nakili

Tobiti 8:16
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo