Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 8:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Mara Ragueli akamhimidi Mungu, akasema, Ee Mungu, umehimidiwa kwa sifa zote zilizo safi takatifu; kwa hiyo watakatifu wakuhimidi, pamoja na viumbe vyako vyote, na malaika wako wote; na wateule wako wote wakuhimidi milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Hapo Ragueli akamtukuza Mungu wa mbinguni kwa maneno haya: “Utukuzwe ewe Mungu wangu kwa sifa za mioyo safi! Utukuzwe milele na milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Hapo Ragueli akamtukuza Mungu wa mbinguni kwa maneno haya: “Utukuzwe ewe Mungu wangu kwa sifa za mioyo safi! Utukuzwe milele na milele. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Mara Ragueli akamhimidi Mungu, akasema, Ee Mungu, umehimidiwa kwa sifa zote zilizo safi takatifu; kwa hiyo watakatifu wakuhimidi, pamoja na viumbe vyako vyote, na malaika wako wote; na wateule wako wote wakuhimidi milele. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA15 Hapo Ragueli akamtukuza Mungu wa mbinguni kwa maneno haya: “Utukuzwe ewe Mungu wangu kwa sifa za mioyo safi! Utukuzwe milele na milele. Tazama sura |