Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 8:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Walipokwisha kula wakamwingiza Tobia kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya kula, wazazi wa Sara walimwongoza kijana Tobia chumbani kwa bibiarusi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya kula, wazazi wa Sara walimwongoza kijana Tobia chumbani kwa bibiarusi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Walipokwisha kula wakamwingiza Tobia kwake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Baada ya kula, wazazi wa Sara walimwongoza kijana Tobia chumbani kwa bibiarusi. Tazama sura |