Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Wakawakaribisha kwa ukunjufu, wakachinja kondoo dume katika kundi, wakawaandalia wingi wa nyama. Kisha Tobia akamwambia Rafaeli, Ndugu yangu Azaria, uziseme zile habari tulizoziongea njiani, ili shauri liishe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Ragueli akamwambia Tobia, “Kula na unywe, ufurahi; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Ragueli akamwambia Tobia, “Kula na unywe, ufurahi; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Wakawakaribisha kwa ukunjufu, wakachinja kondoo dume katika kundi, wakawaandalia wingi wa nyama. Kisha Tobia akamwambia Rafaeli, Ndugu yangu Azaria, uziseme zile habari tulizoziongea njiani, ili shauri liishe. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Ragueli akamwambia Tobia, “Kula na unywe, ufurahi; Tazama sura |