Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 kadhalika na mkewe Edna akalia, na binti yake Sara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Naye mkewe akamlilia Tobiti; hali kadhalika na Sara binti yake. Basi, Ragueli aliwakaribisha kwa furaha Tobia na Rafaeli, akawachinjia kondoo dume. Wageni walipomaliza kuoga na saa ya chakula ilipowadia, Tobia akamwambia Rafaeli, “Ndugu yangu Azaria! Je, utamwambia Ragueli sasa anipe dada yangu Sara?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Naye mkewe akamlilia Tobiti; hali kadhalika na Sara binti yake. Basi, Ragueli aliwakaribisha kwa furaha Tobia na Rafaeli, akawachinjia kondoo dume. Wageni walipomaliza kuoga na saa ya chakula ilipowadia, Tobia akamwambia Rafaeli, “Ndugu yangu Azaria! Je, utamwambia Ragueli sasa anipe dada yangu Sara?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 kadhalika na mkewe Edna akalia, na binti yake Sara. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA8 Naye mkewe akamlilia Tobiti; hali kadhalika na Sara binti yake. Basi, Ragueli aliwakaribisha kwa furaha Tobia na Rafaeli, akawachinjia kondoo dume. Wageni walipomaliza kuoga na saa ya chakula ilipowadia, Tobia akamwambia Rafaeli, “Ndugu yangu Azaria! Je, utamwambia Ragueli sasa anipe dada yangu Sara?” Tazama sura |