Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Akambariki, akamwambia, Wewe u mwana wake mtu mzuri mwema. Lakini aliposikia ya kama Tobiti yu kipofu akahuzunika, akalia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Halafu akasema, “Mungu akubariki, mwanangu. Baba yako ni mtu mwema na muungwana. Inasikitisha kwamba mtu mnyofu na mkarimu kama yeye amekuwa kipofu!” Kisha akamkumbatia Tobia, na kupangusa machozi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Halafu akasema, “Mungu akubariki, mwanangu. Baba yako ni mtu mwema na muungwana. Inasikitisha kwamba mtu mnyofu na mkarimu kama yeye amekuwa kipofu!” Kisha akamkumbatia Tobia, na kupangusa machozi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Akambariki, akamwambia, Wewe u mwana wake mtu mzuri na mwema. Lakini aliposikia ya kama Tobiti yu kipofu akahuzunika, akalia, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA7 Halafu akasema, “Mungu akubariki, mwanangu. Baba yako ni mtu mwema na muungwana. Inasikitisha kwamba mtu mnyofu na mkarimu kama yeye amekuwa kipofu!” Kisha akamkumbatia Tobia, na kupangusa machozi. Tazama sura |