Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Mara Ragueli akaruka, akambusu, akalia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Ragueli aliposikia hivyo, akaruka na kumbusu Tobia huku machozi yanamtoka kwa furaha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Ragueli aliposikia hivyo, akaruka na kumbusu Tobia huku machozi yanamtoka kwa furaha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Mara Ragueli akaruka, akambusu, akalia. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Ragueli aliposikia hivyo, akaruka na kumbusu Tobia huku machozi yanamtoka kwa furaha. Tazama sura |