Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Wakasema, Yu mzima, tena hajambo, na hapa Tobia akasema, Kweli, ndiye baba yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Wakajibu, “Ni mzima, tena hajambo,” Kisha Tobia akaongeza, “Tobiti ni baba yangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Wakajibu, “Ni mzima, tena hajambo,” Kisha Tobia akaongeza, “Tobiti ni baba yangu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Wakasema, Yu mzima, tena hajambo, na hapa Tobia akasema, Kweli, ndiye baba yangu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Wakajibu, “Ni mzima, tena hajambo,” Kisha Tobia akaongeza, “Tobiti ni baba yangu.” Tazama sura |