Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Akawaambia, Je! Mwamfahamu Tobiti, ndugu yetu? Wakasema, Naam, twamfahamu. Akawaambia, Je! Hajambo siku hizi? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Edna akasema, “Mnamjua ndugu yetu Tobiti?” Wakajibu, “Naam! Tunamjua sana.” Naye akauliza, “Je hajambo?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Edna akasema, “Mnamjua ndugu yetu Tobiti?” Wakajibu, “Naam! Tunamjua sana.” Naye akauliza, “Je hajambo?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Akawaambia, Je! Mwamfahamu Tobiti, ndugu yetu? Wakasema, Naam, twamfahamu. Akawaambia, Je! Hajambo siku hizi? Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Edna akasema, “Mnamjua ndugu yetu Tobiti?” Wakajibu, “Naam! Tunamjua sana.” Naye akauliza, “Je hajambo?” Tazama sura |