Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Ragueli akawauliza, Ndugu, mmetoka wapi? Wakamwambia, Sisi ni wana wa Naftali, tulio wafungwa huko Ninawi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Edna akawauliza walikotoka nao wakasema, “Sisi ni wa kabila la Naftali, lakini sasa tumo uhamishoni mjini Ninewi huko Ashuru.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Edna akawauliza walikotoka nao wakasema, “Sisi ni wa kabila la Naftali, lakini sasa tumo uhamishoni mjini Ninewi huko Ashuru.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Ragueli akawauliza, Ndugu, mmetoka wapi? Wakamwambia, Sisi ni wana wa Naftali, tulio wafungwa huko Ninawi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA3 Edna akawauliza walikotoka nao wakasema, “Sisi ni wa kabila la Naftali, lakini sasa tumo uhamishoni mjini Ninewi huko Ashuru.” Tazama sura |