Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Akafanya kama alivyomwagiza, akamleta ndani. Akalia, akayapokea na machozi ya binti yake, akamwambia, Jipe moyo mkuu, mwanangu. BWANA wa mbingu na nchi akupe kibali badala ya hii huzuni yako. Jipe moyo mkuu, mwanangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kisha Ragueli alimwita mkewe, akamwambia, “Dada! Tayarisha kile chumba cha pili, halafu umpeleke Sara huko.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kisha Ragueli alimwita mkewe, akamwambia, “Dada! Tayarisha kile chumba cha pili, halafu umpeleke Sara huko.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Akafanya kama alivyomwagiza, akamleta ndani. Akalia, akayapokea na machozi ya binti yake, akamwambia, Jipe moyo mkuu, mwanangu. BWANA wa mbingu na nchi akupe kibali badala ya hii huzuni yako. Jipe moyo mkuu, mwanangu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA16 Kisha Ragueli alimwita mkewe, akamwambia, “Dada! Tayarisha kile chumba cha pili, halafu umpeleke Sara huko.” Tazama sura |