Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Ragueli akamwita mkewe Edna, akamwambia, Mwenzangu, uweke tayari chumba cha pili, ukamlete ndani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Baada ya hayo wakaanza kula na kunywa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Baada ya hayo wakaanza kula na kunywa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Ragueli akamwita mkewe Edna, akamwambia, Mwenzangu, uweke tayari chumba cha pili, ukamlete ndani. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA15 Baada ya hayo wakaanza kula na kunywa. Tazama sura |