Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Wakaanza kula. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kisha Ragueli akamgeukia mkewe akamwomba ampe karatasi ya kuandikia. Basi, akaandika hati ya mapatano ya ndoa na hivyo akamtoa binti yake awe mke wa Tobia kwa mujibu wa sheria ya Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kisha Ragueli akamgeukia mkewe akamwomba ampe karatasi ya kuandikia. Basi, akaandika hati ya mapatano ya ndoa na hivyo akamtoa binti yake awe mke wa Tobia kwa mujibu wa sheria ya Mose. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Wakaanza kula. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA14 Kisha Ragueli akamgeukia mkewe akamwomba ampe karatasi ya kuandikia. Basi, akaandika hati ya mapatano ya ndoa na hivyo akamtoa binti yake awe mke wa Tobia kwa mujibu wa sheria ya Mose. Tazama sura |