Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Akamwita mkewe Edna, akatwaa kitabu, akaandika hati akaitia mhuri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kisha, Ragueli akamwita binti yake. Alipoingia ndani, akamshika mkono Sara na kumkabidhi kwa Tobia huku anatamka baraka, “Namkabidhi kwako, kwa mujibu wa sheria ya Mose. Nenda naye salama nyumbani kwa baba yako. Mungu wa mbinguni awajalie safari nzuri katika amani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kisha, Ragueli akamwita binti yake. Alipoingia ndani, akamshika mkono Sara na kumkabidhi kwa Tobia huku anatamka baraka, “Namkabidhi kwako, kwa mujibu wa sheria ya Mose. Nenda naye salama nyumbani kwa baba yako. Mungu wa mbinguni awajalie safari nzuri katika amani.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Akamwita mkewe Edna, akatwaa kitabu, akaandika hati akaitia mhuri. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA13 Kisha, Ragueli akamwita binti yake. Alipoingia ndani, akamshika mkono Sara na kumkabidhi kwa Tobia huku anatamka baraka, “Namkabidhi kwako, kwa mujibu wa sheria ya Mose. Nenda naye salama nyumbani kwa baba yako. Mungu wa mbinguni awajalie safari nzuri katika amani.” Tazama sura |