Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Akamwita binti yake Sara, akamshika mkono, akampa Tobia ili awe mke wake. Akasema, Tazama umtwae kama iamuruvyo Torati ya Musa, ukampeleke kwa baba yako. Akawabariki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Ragueli akajibu, “Haya basi! Nitakupa umwoe kama sheria ya Mose inavyodai. Mungu mwenye huruma amepanga ndoa hii! Basi, mchukue awe mke wako. Toka sasa nyinyi ni mume na mke. Sara ni wako leo na hata milele. Mungu mwenye rehema awalinde salama usiku wa leo, na azidi kuwapenda.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Ragueli akajibu, “Haya basi! Nitakupa umwoe kama sheria ya Mose inavyodai. Mungu mwenye huruma amepanga ndoa hii! Basi, mchukue awe mke wako. Toka sasa nyinyi ni mume na mke. Sara ni wako leo na hata milele. Mungu mwenye rehema awalinde salama usiku wa leo, na azidi kuwapenda.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Akamwita binti yake Sara, akamshika mkono, akampa Tobia ili awe mke wake. Akasema, Tazama umtwae kama iamuruvyo Torati ya Musa, ukampeleke kwa baba yako. Akawabariki. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA12 Ragueli akajibu, “Haya basi! Nitakupa umwoe kama sheria ya Mose inavyodai. Mungu mwenye huruma amepanga ndoa hii! Basi, mchukue awe mke wako. Toka sasa nyinyi ni mume na mke. Sara ni wako leo na hata milele. Mungu mwenye rehema awalinde salama usiku wa leo, na azidi kuwapenda.” Tazama sura |