Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 7:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Nimemwoza mtoto wangu kwa wanaume saba, na kila walipomkaribia wakafa usiku ule ule. Lakini wewe kwa sasa ujifurahishe. Tobia akamwambia, Mimi sionji kitu hapa, hata mtakapofanya agano na kuagana nami. Ragueli akamjibu, Vema, wewe umtwae tangu sasa kama ilivyo desturi, maana wewe u ndugu yake, naye yu wako. Naye Mungu mwenye rehema awafanikisheni katika mambo yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Nimekwisha mwoza kwa wanaume saba mpaka sasa, wote jamaa zangu. Kila mmoja wao alifariki usiku wa harusi, mara alipoingia chumbani kwa bibiarusi. Basi, kwa sasa mwanangu, kula na unywe.” Tobia akajibu, “Sipendi hata kusikia juu ya kula na kunywa mpaka utakapotoa uamuzi wako juu yangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Nimekwisha mwoza kwa wanaume saba mpaka sasa, wote jamaa zangu. Kila mmoja wao alifariki usiku wa harusi, mara alipoingia chumbani kwa bibiarusi. Basi, kwa sasa mwanangu, kula na unywe.” Tobia akajibu, “Sipendi hata kusikia juu ya kula na kunywa mpaka utakapotoa uamuzi wako juu yangu.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Nimemwoza mtoto wangu kwa wanaume saba, na kila walipomkaribia wakafa usiku ule ule. Lakini wewe kwa sasa ujifurahishe. Tobia akamwambia, Mimi sionji kitu hapa, hata mtakapofanya agano na kuagana nami. Ragueli akamjibu, Vema, wewe umtwae tangu sasa kama ilivyo desturi, maana wewe u ndugu yake, naye yu wako. Naye Mungu mwenye rehema awafanikisheni katika mambo yote.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

11 Nimekwisha mwoza kwa wanaume saba mpaka sasa, wote jamaa zangu. Kila mmoja wao alifariki usiku wa harusi, mara alipoingia chumbani kwa bibiarusi. Basi, kwa sasa mwanangu, kula na unywe.” Tobia akajibu, “Sipendi hata kusikia juu ya kula na kunywa mpaka utakapotoa uamuzi wako juu yangu.”

Tazama sura Nakili

Tobiti 7:11
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo