Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Akampasha Ragueli habari. Ragueli akamwambia Tobia, Ule, unywe, na kuchangamka, maana ni wajibu wako umwoe mtoto wangu. Lakini nitakuambia kweli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 hakuna mtu mwingine aliye na haki ya kumwoa Sara; hakuna mwingine ila wewe. Mimi sina uhuru wa kumtoa kwa mtu mwingine kwa sababu kimila wewe ndiwe jamaa wa karibu zaidi. Lakini ni lazima nikuambie ukweli mwanangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 hakuna mtu mwingine aliye na haki ya kumwoa Sara; hakuna mwingine ila wewe. Mimi sina uhuru wa kumtoa kwa mtu mwingine kwa sababu kimila wewe ndiwe jamaa wa karibu zaidi. Lakini ni lazima nikuambie ukweli mwanangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Akampasha Ragueli habari. Ragueli akamwambia Tobia, Ule, unywe, na kuchangamka, maana ni wajibu wako umwoe mtoto wangu. Lakini nitakuambia kweli. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 hakuna mtu mwingine aliye na haki ya kumwoa Sara; hakuna mwingine ila wewe. Mimi sina uhuru wa kumtoa kwa mtu mwingine kwa sababu kimila wewe ndiwe jamaa wa karibu zaidi. Lakini ni lazima nikuambie ukweli mwanangu. Tazama sura |