Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 7:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Wakafika Ekbatana, wakawasili kwenye nyumba yake Ragueli. Naye Sara akaja kuwapokea, akawasalimu, nao wakamsalimu; kisha akawapeleka ndani ya nyumba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Walipowasili mjini Ekbatana, Tobia akamwambia Rafaeli, “Ndugu yangu Azaria, nipeleke mara moja kwa Ragueli.” Malaika akamwongoza kijana nyumbani kwa Ragueli, Wakamkuta Ragueli ameketi kando ya mlango wa uani. Basi wakamsalimia kwanza naye Ragueli akawajibu, “Wasalaam! Karibuni ndugu zangu.” Kisha Ragueli akawaingiza wageni ndani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Walipowasili mjini Ekbatana, Tobia akamwambia Rafaeli, “Ndugu yangu Azaria, nipeleke mara moja kwa Ragueli.” Malaika akamwongoza kijana nyumbani kwa Ragueli, Wakamkuta Ragueli ameketi kando ya mlango wa uani. Basi wakamsalimia kwanza naye Ragueli akawajibu, “Wasalaam! Karibuni ndugu zangu.” Kisha Ragueli akawaingiza wageni ndani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Wakafika Ekbatana, wakawasili kwenye nyumba yake Ragueli. Naye Sara akaja kuwapokea, akawasalimu, nao wakamsalimu; kisha akawapeleka ndani ya nyumba. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Walipowasili mjini Ekbatana, Tobia akamwambia Rafaeli, “Ndugu yangu Azaria, nipeleke mara moja kwa Ragueli.” Malaika akamwongoza kijana nyumbani kwa Ragueli, Wakamkuta Ragueli ameketi kando ya mlango wa uani. Basi wakamsalimia kwanza naye Ragueli akawajibu, “Wasalaam! Karibuni ndugu zangu.” Kisha Ragueli akawaingiza wageni ndani. Tazama sura |