Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 6:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Akamwambia, Kwa habari ya moyo na ini, ikiwa jini au pepo mbaya anamsumbua mtu, yatupasa kumfukizia moshi wa vitu hivi, akiwa ni mwanamume au mwanamke, naye hataudhika tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Na hiyo nyongo hutumiwa kumpaka mtu yeyote aliye na vigamba vyeupe machoni, naye hupona.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Na hiyo nyongo hutumiwa kumpaka mtu yeyote aliye na vigamba vyeupe machoni, naye hupona.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Akamwambia, Kwa habari ya moyo na ini, ikiwa jini au pepo mbaya anamsumbua mtu, yatupasa kumfukizia moshi wa vitu hivi, akiwa ni mwanamume au mwanamke, naye hataudhika tena. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA8 Na hiyo nyongo hutumiwa kumpaka mtu yeyote aliye na vigamba vyeupe machoni, naye hupona.” Tazama sura |